Lina sana macho Yako maama vya kuona ni vingi duniani na bado hujaona vyote...sikio lako liwe makini katika kusikia bado hujasikia mengi duniani mdomo wako utunze vyema ili.usiongee yote maana ya kuongea ni mengi sana...Linda sana. Moyo wako ili usishambuliwe na maumivu maana vya kuumiza ni vingi usitafute maumivu ya Bure...Leo nakuambia Tena tumia vyema akili Yako maishani maana vipo vingi vinavyohitaji akili Yako Sasa na baadaye. Linda linda lindaaaa...Sali saana kwa maana Maombi ni mengi ya kuombaSasa kuliko hata uliyokwisha kuomba. Daima jifunze kumtegemea Mungu na akuongoze daima.Daima binadamu tunapaswa kujifunza kwa macho,masikio,midomo,akili na moyo wetu..Tuvilinde daima hivi maishani mwetu ili mwisho wa siku safari ya maisha yetu iwe na maana. Tulinde hayo na tujilinde tukiamini Mungu atatulinda na kila baya...Lina ujilindeeee Amiiina