Eeh baba, twende!
Watimba hoyeee, Watimba safi!
Sikiliza huu muziki wa upendo
Kali sana, twende!
Watimba hoyeee, watimba uko wa kiume
Watimba yeee, ni shupavu wanawake
Sifa yetu upendo, sifa yetu heshima
Tukumbuke nyumbani, tukumbuke zetu mama
Tukiendelea kushirikiana na kupendana
Tutajenga nyumba imara iliyosimama
Waiteeeee Watimba pande zote za Dunia
Waambie Watimba nyumbani kumenoga
WATIMBA wachapa kazi
Watimba upendo nguzo yetu
Watimba ushirikiano thamani yetu
Watimba ukoo wetu fahari yetu
Tizama Deusi Mayegela yupo
Shukuru Michael yupo, namuona Tumaini Said nae yupo
Leo leo tunashikamana, leo leo tunajenga familia imara
Familia ya John, iinuke na kusika dunia nzima
Tumishe heshima na upendo baina yetu
Wapi James Simon, eeeeh Renatus Hamza mwana wa Simeon
WATIMBA wachapa kazi
Watimba upendo nguzo yetu
Watimba ushirikiano thamani yetu
Watimba ukoo wetu fahari yetu
Watoo wa Nasole John na Medo Sikinde
Wapi Balekee, Watimba imara na shupavu
Umoja wetu, nguvu yetu, twende mbele
Safi sana, Watimba juu!
Eeh baba, Watimba!
Upendo siku zote
Tunajenga familia, twende
Bongo, safi sana!
Watimba, mambo!