Frobits
🎵 A song made on Frobits

Mercy On Me

Peliwaka Kuku Center · 🇹🇿 Tanzania
0:000:00
Download Remix
Make your own song
Continues securely on the web
Lyrics

[male vocals] Mercy

Mercy

my

dear

Mercy...

lalalala...

ahaaaa..

tuliltuliii...

sura

Yako

nzuri

ya

upole,

tabasamu

lako

tamu

laleta

hamu.

Jina

lako

Zurilaendana

na

sifa

zako

Mercy...

kipenzi

cha

baba...

mtoto

mzuri

WA

sura

na

moyo.

Huruma

na

upendo

ni

sifa

zako

kiburi

sio

mambo

zako.

Unyeyekevu

ni

sifa

njema

kwako...

ni

Raha

kuwa

karibu

nawe

ma

Mnyogode.

Tabia

Yako

nikama

harufu

nzuri

ya

maua

asnte

kwa

wazazi

waliokulea.

Tamba

Leo

mama...

ringa

sana

mama

imba

cheza

kwa

sifa

zako.

Asbh

kunapokucha

ndege

huimba

kwa

sauti

nzuri

nawe

wafahamika

kwa

sauti

taaamu...

kicheko

chako

na

ucheshii

wako

daima.

ni

raha

kwa

wapatao

nafasi.

Pole

sana

pole

sana

kwa

wote

waliokukosa...

hasara

ni

kwao

faida

kwetu...

Wacha

weee

turinge

na

Mercy

mama

la

mama

wa

Holiness

na

Gianna.

Walee

wanao

km

ulivyo

lelewa

kwa

upendo

na

maadili

mema.

Mungu

akutunze

Leo

na

daima

jirani...

mshikaji

wangu

wa

faida...

huruma

Yako

kwangu

naiona

daima...

ninapoongea

nawe

sitaki

kuacha...

leleleeee..

alalalaaaa...

niseme

Nini

zaidi

ya

Asante

Mungu....

Tamba

mama

tamba...

tamba

mama

Mnyogode

tamba.

Maana

taswira

Yako

tangu

kuzaliwa

wewe

ni

nyota

njema

kwenye

maisha

ya

familia...

wazazi

wanakupenda

sana...

wanao

wanakupenda

sana...

Ba

Mnogode

ndo

hoi

kabisa..

umbali

sio

kitu

akiongea

nawe...

Tamba

mama

ringaNakupenda

wewe ...

twakupenda

wewe

mama

yetu...

Nyakati

nzuri

zote

twamshukuru

Mungu

na

nyakati

ngumu

twamuomba

Mungu

atupe

majibu.

Uvumilivu

wako

ni

sifa

njema

daima

huo

wakufanya

shujaaa..

Wewe

ni

zawadi

katika

maisha

na.

Mungu

kakuleta

usijilaumu

kamwe.

Kufuru

isiwe

sehemu

ya

maisha

yako.

Linda

sana

moyo

wako

kuliko

chochote

ulindacho.

Mercy

mwana

wa

Daniel

jina

lako

limebeba

sifa

njema...

waleleeeellleeee...

ni

wewe

tu

unayetawala

katika

kilele

cha

furaha

zetu.

Tamba

mama

tambaaaa...

weee

ni

baraka

kwetu...

yapo

mengi

ya

kukusifia

lakini

Leo

twasema

sifa

njema

hiI

twamrudishia

Mungu

aliyekuumba.

Tabasamu

Leo...

cheza

Kwa

Raha

Leo

ma.

Mnyogode...

mama

G

mama

H

mama

la

mama...

kiboko

ya

wote

wanaojitapa...

Wanyooooshe

Mercy

wangu ...

woyooooooo...

Tamba

weee

mama

la

mama...

ringa

weee

Mercy...

Holiness

naGianna

wanakupenda...

na

Mzee

baba

ndo

usiseme....

Twende

sasaaaaaa....

alallalaa....

walewereee...

eweraaa....

chacahaaa...

tulatauallll.

mmmmhu

ni

raha

kuwa

nawe

Mercy

wetu

More songs by Peliwaka Listen to songs created by others
FROBITS