[male vocals] Jamaa
ya
Noël
na
Anna
inayo
furaha
sana
kupata
mapasa,
Kabala
na
Kibu.
Kila
siku
tunawaombea
kwa
Mungu
awape
elimu,
heshima,
upendo
ilio
sura
ya
Mungu.
Tunawaombea
matoto
wote:
deo,
Benoît,
leanilebon,
joeklos,
alima,
atia
na
elena.
Mungu
awabariki
sana.
Uzao
wa
Noël
na
Anna.