Oooosh, Rasta tena hapa!
Mlanyama, Ubalozi wena!
Moro town wenaa
Indaba
Wanangu wa Ubalozi, Moro town mafiga
Washa sasa tuvute, washa sasa turuke
Kitu cha moshi, majita wanakichoma
Kitu cha milimani, stimu zina yoyoma
Ai wena, ooshhy majita wena
Kunjan wena, Ubalozi wena
Washa sasa tuvute, hiki kijiti cha mti gani?
Washa, washa, kijiti watu wapate
Washa, washa, kijiti indaba
Osman from Ubalozini, washa kaka
Ubalozi wena, wazee wa mafiga
Wakisema cha South, aaah wapi
Wakisema cha Arusha, kidogo kinalipuka
Ai wena, ooshhy mamen
Ossu mzee wa Ubarozi, washa sasa
Nyonga tuvute, mtoto wa mama
Kijiti usikishike, nasema utadata
Ai we usivute, kama we mama
Machizi watakukanda, oosh Ubalozi wena
Washa, washa, kijiti watu wapate
Washa, washa, kijiti indaba
Osman from Ubalozini, washa kaka
Ubalozi wena, wazee wa mafiga
Wapi Zombi wena
Kunjan mfeto wena
Pasopa wena, Rasta Mlanyama wena
From Natal Deben mfyeto
Hilo kijiti basi kiwake
Asiyekiweza, nasema asogee
Ooshhy wena, kijiti wena
Moro town tunawaka, stimu zinapanda
Eish, awei, vibe imeshika
Ubalozi, washa sasa, turuke juu!
Washa, washa, kijiti watu wapate
Washa, washa, kijiti indaba
Osman from Ubalozini, washa kaka
Ubalozi wena, wazee wa mafiga
Washa sasa, Ubalozi wena
Oosh, Mlanyama, tunawaka
Asambe, sharp sharp
Kijiti indaba, Ubalozi!