[male
vocals]
[Intro] Oh,
M.
D.
L.
C,
RAD-RDC,
tunasimama
imara.
Katana,
Sud-Kivu,
mboka
ekobongwana!
[Verse 1] Jemedari
Imani
Shabani
Lwachiani,
kiongozi
shujaa,
Ulijengwa
kwa
unyenyekevu,
hekima
yako
ni
nuru.
Adm
Loge
Élie,
msaidizi
wa
kweli,
Placide
Manjara,
kwenye
utafiti
wa
misaada,
mungu
awabariki.
Vijana
wazalendo
wote
wa
M.
D.
L.
C/
RAD-RDC
tunawaona
kila
Mutu
kwa
kina
lake
mikono
chukuwa
bunduki
piga
adui.
Jemedari
Mkuu
Padiri
Bulenda,
mzalendo
wa
kweli,
tunakutupiya
maua,
Heshima
kwako
baba,
kwa
kazi
unayofanya.
Wewe
ni
heshima
kwa
inchi
nzima
muzazi
aliye
kuzaa
abarikiwe
milele
[Chorus] Vijana
mashujaa
wa
M.
D.
L.
C/
RAD-RDC,
Tunasonga
mbele,
hatubabaishwe
kamwe.
Imani
Shabani,
kiongozi
wetu
hodari,
Tunajenga
nchi,
kwa
moyo
wa
kizalendo
kweli.
[Outro] Mouvement
DÉCISIF
DE
la
libération
du
Kongo,
hatuyumbi.
Imani
Shabani,
mbele
daima.
Tunajenga
nchi
kwa
uzalendo.
Maadui
wanahangaika,
wanajaribu
kutuchanganya,
Wanatutuhumu
kwa
maneno
isiyo
kuwa
ya
kweli,
lakini
hatuogopi
tuko
tu
imara.
Tumeshawagundua,
wanafiki
wamejifunika
kama
wakongomani,
Lakini
ukweli
uko
wazi,
mchezo
wenu
umejulikana.
Papa
Marte
Kamende
musimamizi
wa
habari
za
siri
kunako
RAD
BUNYAKIRI,
uko
kazini,
ubarikiwe
baba,
Coordination
ya
RAD
Bunyakiri,
tuna
wa
tegemeya
musiwe
kama
wale
wanafiki.
[Chorus] Vijana
mashujaa
wa
M.
D.
L.
C/
RAD-RDC,
Tunasonga
mbele,
hatubabaishwe
kamwe.
Imani
Shabani,
kiongozi
wetu
hodari,
Tunajenga
nchi,
kwa
moyo
wa
kizalendo
kweli.
[Bridge] Wimbo
huu
ni
jiwe
la
usiku,
likikupata
wewe,
Uliye
na
mguu
mmoja
kwa
adui,
na
mwingine
serikalini
uta
lalamika
tu.
Tunawajua
nyie
wasaliti,
mnaoishi
kwa
rushwa
kwauzisha
inchi
yenu,
Lakini
wazalendo
imara,
tunasimama
bila
kupokea
rushwa. (
Kongo
ni
kwa
wakongomani!
Ah
ooh!)
[Verse 3] Tunawapenda
sana
viongozi
wanaosimama
imara,
Bila
kununuliwa,
bila
kuuza
utu
wenu.
Sid-kivou
ina
watoto
wake
imara
M.
D.
L.
C
na
wengine
wangali
bado
imara
twende
mbele
tupige
adui,
Tutaendelea
kupambana,
hadi
haki
itawale.
Maadui
mtashindwa,
mbele
ya
ukweli
wa
umma.
[Chorus] Vijana
mashujaa
wa
M.
D.
L.
C/
RAD-RDC,
Tunasonga
mbele,
hatubabaishwe
kamwe.
Jemedari
Imani
Shabani,
kiongozi
wetu
hodari,
Tunajenga
nchi,
kwa
moyo
wa
kizalendo
kweli.
[Outro] Mouvement
DÉCISIF
DE
la
libération
du
Kongo,
hatuyumbi.
Imani
Shabani,
mbele
daima.
Tunajenga
nchi
kwa
uzalendo.
Mboka
ekobongwana,
mungu
abariki
Katana! (
Bolingo!
Nakuzobi!
Ah
ooh!)