.
🎵 WIMBO: “AMANI ISHUKE KAMA MVUA CONGO” )
🟦 INTRO
(Instrumental – hakuna kuimba)
🟦 VERSE 1 (0:13 )
🎤Kwaya au solo:
Bwana tunaleta taifa mbele zako,
Congo iwe salama kwa mkono wako.
Ondoa machozi, uponye mioyo,
Amani ishuke kama mvua juu.
(Solo)
Yesu ni Mungu uokoaye
Wewe ni Mungu wa watu wenye mwili
Utulizaye mawimb na zoruba
Simamisha amani ndani ya Congo
🟦 CHORUS
🎶 Kwaya / Praise Team –kwa nguvu kamili
Amani, amani, amani ee Bwana,
Ishuke juu ya Congo.
Amani, amani, amani ya Bwana Yesu, itawale
(Repeat chorus ×2 kwa beat)
🟦 VERSE 2
🎤 Solo :
Ondoa vita, ondoa machozi,
Patanisha watu, unganisha familia.
Weka mwanga wako juu ya giza lote,
Uwe Mungu Congo na watu wote.
🔥 BG Vocals (soft pad):chorus
Amani— amani— amani…
🟦 BRIDGE
🎵 All (Prophetic Build-up):
Roho Mtakatifu shuka sasa,
Tawala Congo yote.Tia amani, katika familia,nawa falme
Ee BwanaYesu, tawala…
(Repeat ×2)
🎤 Leader:
Iwe Amani Kwaviongozi
Iwe Amani kwa watu wote
Iwe Amani kwa Dini zote
Amini ya Bwana Itawaleeeee